Pilipili (mwanamuziki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Gatonye (amezaliwa Novemba 1982),[1] anajulikana kwa jina la kisanii kama Pilipili ni mwanamuziki wa nchini Kenya. Mwanzoni alishirikiana na mwanamuziki Gun B na kutoa wimbo wao maarufu unaojulikana kwa jina "Nampena". Pia aliimba wimbo akiwa na Ratat. Wimbo unaoitwa morale.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Pilipili. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-12-27. Iliwekwa mnamo 6 June 2012.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pilipili (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.