Pierre Mauroy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pierre Mauroy mwaka 1990.

Pierre Mauroy (* Cartignies, 5 Julai 1928 – † Clamart, 7 Juni 2013) alikuwa mwanasiasa wa Ufaransa. Kati ya 1981 na 1984 alikuwa Waziri Mkuu wa Ufaransa.

Makala hii kuhusu "Pierre Mauroy" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.