Nenda kwa yaliyomo

Pierre Claver Mbonimpa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pierre Claver Mbonimpa akizungumza na sauti ya Amerika mnamo 2017

Pierre Claver Mbonimpa ni mwanaharakati wa haki za binadamu wa Burundi. Alianzisha chama cha kulinda haki za binadamu na wafungwa (APRODH) mnamo agosti 2001.[1]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Mbonimpa kabla ya kuanzisha chama cha APRODH, alifanya kazi kama mtumishi wa umma katika Wizara ya uchumi na fedha nchini Burundi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Biography of Pierre Claver Mbonimpa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-31. Iliwekwa mnamo Des 9, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Burundi: Boys Behind Bars: Local Heroes". Mei 13, 2011. Iliwekwa mnamo Des 9, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pierre Claver Mbonimpa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.