Nenda kwa yaliyomo

Pierbattista Pizzaballa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pierbattista Pizzaballa, O.F.M., (alizaliwa 21 Aprili 1965) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia ambaye amehudumu kama Patriarki wa Kilatini wa Yerusalemu tangu tarehe 6 Novemba 2020.[1] Akiwa mtawa wa Shirika la Wafranciskani, alihudumu kama Msimamizi wa Ardhi Takatifu kuanzia mwaka 2004 hadi 2016 na kama Msimamizi wa Kitume wa Upatriarki wa Kilatini kutoka 2016 hadi 2020. Papa Francis alimfanya kardinali mwaka 2023.

  1. "Patriarch Pizzaballa takes possession of See of Latin Patriarchate of Jerusalem". Latin Patriarchate of Jerusalem. 6 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.