Philicity Asuako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Philicity Asuako
Amezaliwa 25 Desemba 1999
Ghana
Nchi Ghana
Kazi yake Mchezaji wa soka

Philicity Asuako (alizaliwa 25 Desemba 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kimataifa wa Ghana ambaye anacheza kama beki. Amecheza mechi moja ya timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Ghana. Alikuwa kwenye kikosi cha Ghana kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2018 lakini hakuonekana akicheza katika mechi yoyote.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Player Details: Philicity Asuako. Confederation of African Football. Iliwekwa mnamo 16 June 2019.
  2. P. Asuako. Perform Group. Iliwekwa mnamo 16 June 2019.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philicity Asuako kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.