Peter Shirayanagi
Mandhari
Peter Seiichi Shirayanagi (白柳誠一, Shirayanagi Seiichi; 17 Juni 1928 – 30 Desemba 2009) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Tokyo.
Aliongoza Baraza la Maaskofu Katoliki wa Japani kuanzia 1983 hadi 1992.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |