Peter Schmeichel
Mandhari
Peter Bolesław Schmeichel (alizaliwa 18 Novemba 1963) ni mchezaji wa soka wa zamani wa Denmark ambaye alicheza kama kipa, na alichaguliwa Kipawa Bora cha Dunia cha IFFHS mwaka wa 1992 na 1993.
Ni kipa mmojawapo aliyeichezea klabu ya Uingereza ya Manchester United kwa mafanikio, alikuwa kipa bora wa Ligi ya Mabingwa ulaya ya UEFA 1999, na kushinda UEFA Euro 1992 na timu ya taifa ya Denmark.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Schmeichel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |