Nenda kwa yaliyomo

Peter Rono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Kipchumba Rono (alizaliwa 31 Julai 1967) ni mwanariadha wa zamani nchini Kenya ambaye alishinda mbio za mita 1,500 Katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto 1988.[1]

  1. "Peter Rono".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Rono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.