Peter Armstrong (padri)
Mandhari
Peter Armstrong (alijulikana kama The Pigskin Priest, 9 Aprili 1929 – Novemba 17, 2009) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki la Roma kutoka Marekani na alihusishwa na Jimbo kuu la San Francisco. Alihudumu kama kapiliani wa timu ya mpira wa miguu ya San Francisco 49ers kwa ushindi wao wote watano katika Super Bowl. Armstrong alitunukiwa cheo cha monsignor katika Kanisa Katoliki mwaka 1966.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Monsignor Peter G. Armstrong, priest for 55 years". Catholic San Francisco Online Edition. 2 Des 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 15 Feb 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |