Peter Aluma
Mandhari
Peter Aluma (alizaliwa Lagos, 23 Aprili 1973) ni nguli wa mchezo wa mpira wa kikapu.
Baada ya mafunzo yake ya elimu ya sekondari katika shule ya Okota Grammar School iliopo Isolo, Nigeria, mchezaji huyu mwenye urefu wa mita mbili anaechezea safu ya kati alipata umaarufu katika chuo cha Liberty kilichopo Marekani.
Aliongoza katika ufungaji akiwa na Big South all Conference mwaka 1996 na 1997 ambapo alikua katika safu ya ulinzi.
Alitajwa kama mchezaji mwenye mafanikio bora katika miaka ya 1994 mpaka 1997 akiwa katka timu ya Conference all rookie. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Aluma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |