Nenda kwa yaliyomo

Peggy Serame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peggy Serame

Peggy Onkutlwile Serame ni mwanasiasa wa Botswana ambaye amekuwa akitumikia kama Waziri wa Fedha katika serikali ya Raisi Mokgweetsi Masisi tangu Aprili 2021.[1][2]

Maisha ya siasa

[hariri | hariri chanzo]

Kabla ya kuteuliwa kuwa katika baraza la mawaziri, Serame alifanya kazi kama mtaalamu wa uchumi mdogo katika Wizara ya Fedha.[3] Serame alitumikia kama Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda kutoka Machi 2020 hadi Aprili 2021.[4]

Shughuli nyingine

[hariri | hariri chanzo]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Serame ana binti anayeitwa Dineo Diana Tamia Serame na Kabelo Serame.[7]

  1. "MINISTER'S PROFILE" (PDF). www.finance.gov.bw/.
  2. Botswana replaces finance minister with immediate effect - statement Reuters, Aprili 17, 2021.
  3. Mguni, Mbongeni (2021-04-19). "The Rise And Rise Of Peggy Serame". Mmegi Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
  4. "PRESS RELEASE: CABINET APPOINTMENTS" (PDF).
  5. Bodi ya Magavana Benki ya Dunia.
  6. Bodi ya Magavana Shirika la Dhamana ya Uwekezaji wa Pamoja (MIGA), Kundi la Benki ya Dunia.
  7. Maphanyane, Tshepo (2020-06-02). "Daring to dream". TheVoiceBW (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-24. Iliwekwa mnamo 2021-01-16. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peggy Serame kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.