Pedro Arrojo-Agudo
Mandhari
Pedro Arrojo-Agudo ni mwanafizikia, mwanauchumi, mwanamazingira, na profesa katika Chuo Kikuu cha Zaragoza nchini Hispania.
Mnamo mwaka 2003 alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman kwa mchango wake wa kuhifadhi maji.[1]Alifanywa kuwa mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu kwa maji salama ya kunywa na usafi wa mazingira mnamo mwezi Oktoba 2020.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Europe 2003. Pedro Arrojo-Agudo. Spain. Rivers & Dams". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Juni 2011. Iliwekwa mnamo 4 Desemba 2010.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Mr. Pedro Arrojo-Agudo, Special Rapporteur on the human rights to safe drinking water and sanitation". Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)