Pbow
Mandhari
Pbow ilikuwa monasteri ya maisha ya kijumuia iliyoanzishwa na Pakomi mnamo 336-337 BK. Pbow ina umbali wa takribani kilometa 100 kutoka kaskazini mwa Luxor, Misri.
Jina
[hariri | hariri chanzo]Pbow ni jina la Kikopti. Kiarabu "Faw" katika neno "Faw al-Qibli" ("Faw Kusini") linatokana na Coptic Pbow[1]. Majina mengine ni "Bau", "Pboou", na "Phbow".[2][3]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Pbow ilianzishwa kama kituo cha utawala cha monasteri ya Pakomi mwaka 336-337 BK. Kituo hicho kilijumuisha Basilika ya mtakatifu Pakomi aliyefariki huko mwaka 347.
Ni machache yanayojulikana kuhusu historia ya Pbow baaada ya karne ya 6BK.Karibia au baada ya utawala wa al-Hakim, Pbow iliharibiwa na al-Hakim.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gabra, Gawdat; Takla, Hany N. (2010). Christianity and Monasticism in Upper Egypt (kwa Kiingereza). American Univ in Cairo Press. ISBN 978-977-416-311-1.
- ↑ M. Drew Bear (2017-12-16). "Bau/Pboou: a Pleiades place resource". Pleiades: a gazetteer of past places (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-06-11.
- ↑ Dunn, Marilyn (2008-04-15). The Emergence of Monasticism: From the Desert Fathers to the Early Middle Ages (kwa Kiingereza). John Wiley & Sons. ISBN 978-0-470-75454-2.