Nenda kwa yaliyomo

Pauline Lesley Perry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Pauline Lesley Perry
Amezaliwa13 Agosti 1927


Pauline Lesley Perry (amezaliwa 13 Agosti 1927, London) ni mtaalamu wa mimea, mtaalamu wa bustani na mkusanyaji wa mimea kutoka Afrika Kusini. [1]

Maisha ya mapema na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Pauline Lesley Perry alisoma Chuo cha Wye, Chuo Kikuu cha London mnamo 1946-1949, na kuhitimu Shahada ya Sayansi, na kisha kufundisha biolojia nchini Uingereza kabla ya kuja Afrika Kusini mnamo 1972. [2]

Kuanzia mwaka 1976 Perry alifanya kazi kwwenye Bustani ya Kitaifa ya Mimea ya Afrika Kusini, iliyoko Karoo Botanic Granden, Worcester, maalumu kwa geophytes kutoka eneo la mvua za baridi la Cape, hasa Namaqualand. [3] Yeye na Dierdre Anne Snijman walifanya safari nyingi katika eneo hili. [4] Mnamo 1984, Perry alianza kukusanya mimea, hasa spermatophytes . [5] Alichapisha majina 85 ya mimea. [6]

Pauline Lesley Perry alistaafu mwaka 1989. [7] Baada ya kustaafu, aliendelea kuchapisha makala na vitabu vya kisayansi, kama vile A vegetation survey of the Karoo National Botanic Garden Reserve, Worcester (1990), Growing Geophytes at the Karoo Gardens (1991),[8]  A revision of the genus Eriospermum (Eriospermaceae) (1994),[9] and Bulbinella in South Africa (1999) based on the part of a M.Sc. tasnifu iliyowasilishwa na Idara ya Mimea ya Chuo Kikuu cha Cape Town .

Marejeleo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Plant Names P-Z". www.calflora.net. Iliwekwa mnamo 2021-04-04.
  2. Glen, H.F.; Glen, H. F. (2010). Botanical Exploration of Southern Africa : :An illustrated history of early botanical literature on the Cape Flora, Biographical accounts of the leading plant collectors and their activities in southern Africa form the days of the East India Company until the modern times. Juz. la 26 (tol. la 2nd.). Pretoria: SANBI. uk. 348. ISBN 978-1-919976-54-9.
  3. Glen, H.F.; Glen, H. F. (2010). Botanical Exploration of Southern Africa : :An illustrated history of early botanical literature on the Cape Flora, Biographical accounts of the leading plant collectors and their activities in southern Africa form the days of the East India Company until the modern times. Juz. la 26 (tol. la 2nd.). Pretoria: SANBI. uk. 348. ISBN 978-1-919976-54-9.Glen, H.F.; Glen, H. F. (2010). Botanical Exploration of Southern Africa : :An illustrated history of early botanical literature on the Cape Flora, Biographical accounts of the leading plant collectors and their activities in southern Africa form the days of the East India Company until the modern times. ISBN [[Maalum:Vitabu Vyanzo/978-1-919976-54-9|
  4. "DIERDRE ANNE SNIJMAN: 1997 Herbert medalist". 2007-02-07. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-07. Iliwekwa mnamo 2021-04-04.
  5. "Perry, Pauline Lesley (1927-) on JSTOR". plants.jstor.org. Iliwekwa mnamo 2021-04-04.
  6. "Perry, Pauline Lesley | International Plant Names Index". www.ipni.org. Iliwekwa mnamo 2021-04-04.
  7. Glen, H.F.; Glen, H. F. (2010). Botanical Exploration of Southern Africa : :An illustrated history of early botanical literature on the Cape Flora, Biographical accounts of the leading plant collectors and their activities in southern Africa form the days of the East India Company until the modern times. Juz. la 26 (tol. la 2nd.). Pretoria: SANBI. uk. 348. ISBN 978-1-919976-54-9.Glen, H.F.; Glen, H. F. (2010). Botanical Exploration of Southern Africa : :An illustrated history of early botanical literature on the Cape Flora, Biographical accounts of the leading plant collectors and their activities in southern Africa form the days of the East India Company until the modern times. Vol. 26 (2nd. ed.). Pretoria: SANBI. p.348. ISBN[[Maalum:Vitabu Vyanzo/978-1-919976-54-9|
  8. Perry P. (1991-06-01). "Growing Geophytes at the Karoo Gardens". Veld & Flora. 77 (2): 48–50. hdl:10520/AJA00423203_1913.
  9. Perry, Pauline L; Hall, A. V (1994). A revision of the genus Eriospermum (Eriospermaceae) (kwa English). Cape Town, South Africa: Bolus Herbarium, University of Cape Town. OCLC 741872558.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pauline Lesley Perry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.