Nenda kwa yaliyomo

Paul Stagg Coakley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Stagg Coakley

Paul Stagg Coakley (alizaliwa 3 Juni 1955) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.

Amehudumu kama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Oklahoma City tangu mwaka 2010.[1] [2]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.