Paul Green (mwandishi)
Mandhari
Paul Eliot Green (17 Machi 1894 – 4 Mei 1981) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1927, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake In Abraham's Bosom.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Green (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |