Paul Boyer
Mandhari
Paul Delos Boyer (amezaliwa 31 Julai 1918) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa kibiolojia wa ATP. Mwaka wa 1997, pamoja na John Walker na Jens Skou alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Boyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |