Patson Daka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
picha ya paston daka

Patson Daka, (alizaliwa 9 Oktoba, 1998) ni mchezaji wa soka wa Zambia ambaye anacheza katika klabu ya F.C Red Bull Salzburg iliyopo nchini Austria na timu ya taifa ya Zambia.

kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Wakati huo huo alicheza RB Salzburg na kushinda kombe la Ligi ya Vijana ya UEFA katika michezo 2. Tarehe 30 Aprili, Daka alililipwa fedha ya mkataba wa miaka mitano kwa alichoifanyia timu yake ya vijana.

Tarehe 24 Agosti, Daka alishindi kwa mara yake ya kwanza akiwa na klabu ya Salzburg dhidi ya FC Viitorul katika Qualifiers ya UEFA Europa League.

Siku tatu baadaye, alicheza kwa mara yake ya kwanza katika Bundesliga ya huko Austria dhidi ya Sturm Graz.

Alifunga goli lake la kwanza katika klabu ya Red Bull Salzburg kwenye mechi ya nyumbani dhidi ya Austria Vienna katika ushindi wa magoli 2-0.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patson Daka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.