Patricia Blocksom
Mandhari
(Elekezwa kutoka Patricia blocksom)
Patricia Blocksom ni mwanasheria katika nchi ya kanada na alibobea katika usuluhishi wa sheria za ndoa.
Elimu na Kazi
[hariri | hariri chanzo]Blocksom alijiandikisha katika chuo cha Lethbridge mwaka 1976 na baadae akapata shahada ya sheria katika chuo kikuu cha Calgary kitovu cha sheria katika mwaka 1982.[1] Pia alikua mshirika katika Dunphy Best Blocksom mnamo mwaka 1990.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Patricia Blocksom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |