Patricia Blocksom
Mandhari
Patricia Blocksom ni mwanasheria katika nchi ya kanada na alibobea katika usuluhishi wa sheria za ndoa.
Elimu na Kazi
[hariri | hariri chanzo]Blocksom alijiandikisha katika chuo cha Lethbridge mwaka 1976 na baadae akapata shahada ya sheria katika chuo kikuu cha Calgary kitovu cha sheria katika mwaka 1982.[1] Pia alikua mshirika katika Dunphy Best Blocksom mnamo mwaka 1990.
Tuzo na heshima
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 2001, Blocksom aliteuliwa kuwa Mwanachama wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa cha Wanasheria wa Ndoa.[2]
- Mwaka 2011, Blocksom aliingizwa katika Agizo la Ubora la Alberta.
- Pia mwaka 2011, Blocksom alikuwa mshindi wa Tuzo ya Touchstone ya Chama cha Wanasheria wa Kanada.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Patricia L. Blocksom, Q. C. - DBB LLP". Dbblaw.com. 2014-06-20. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-18. Iliwekwa mnamo 2015-06-18.
{{cite web}}: Check date values in:|date=(help) - ↑ "Patricia Blocksom : Profiles : Members : International Academy of Matrimonial Lawyers". Iaml.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-18. Iliwekwa mnamo 2015-06-18.
- ↑ "John Haynes Memorial Award". Alberta Family Mediation Society (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-23.
- ↑ "Patricia Blocksom, Q.C., wins 2011 CBA Touchstone Award". Cba.org. 2011-08-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 2015-06-18.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Patricia Blocksom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |