Patongo, Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Patongo katika ramani ya Patongo kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 02°45′36″N 33°18′36″E / 2.76000°N 33.31000°E / 2.76000; 33.31000

Patongo ni mji katika wilaya ya Agago, eneo ndogo la Acholi katika Mkoa wa Kaskazini mwa nchi ya Uganda. Mji unasimamiwa na halmashauri ya mji wa Patongo.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Patongo ni takribani kilomita 21.5 (maili 13.4), kwa barabara, kusini mwa Agago, eneo la makao makuu ya wilaya.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. GFC (23 July 2015). "Road Distance Between Patongo And Agago With Map". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 23 July 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)