Paternus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Padarn.

Paternus (au Padarn wa Wales) (? - 550 hivi)[1] alikuwa abati askofu wa Ukristo wa Kiselti aliyeanzisha[2] Kanisa katika ufalme wa Ceredigion, Wales.

Alianzisha pia monasteri huko Vannes (Bretagne, Ufaransa) akawa askofu wa Braga, Ureno, na Avranches, Normandy.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paternus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.