Passi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Passi
Alizaliwa 21 Disemba 1972
Nchi Brazzaville, Congo
Kazi yake Mwimbaji

Passi (amezaliwa 21 Disemba 1972) ni msanii wa hip hop ambaye alikua maarufu katikati ya mwaka 1990 na kikundi cha Ministère AMER, akiwa yeye mwenyewe pamoja na Stomy Bugsy. Passi anajulikana sana, hata hivyo, kama msanii wa kujitegemea, pia ni mshiriki katika makundi mengi, kama vile Bisso Na Bisso na Dis l'heure 2 zouk..[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Amazing Race recap: My Tongue Doesn't Even Twist That Way. Entertainment Weekly (October 31, 2015). Iliwekwa mnamo November 26, 2020.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Passi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.