Paschal Eze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paschal Eze

Amezaliwa
Nigeria
Kazi yake mwandishi wa habari
Cheo mwariri
C. Paschal Eze

C. Paschal Eze ni raia kutokea nchini Marekani mwenye asili ya Nigeria ni mratibu katika masoko ya utalii. Alizaliwa nchini Nigeria na kufanya kazi kama mwandishi wa habari katika kituo cha the Gambia, kwa sasa anafanya kazi kama Makamu wa Rais wa Afrika katika Baraza la Kimataifa la Washirika wa Utalii huko Hawaii USA Eze ameandika zaidi ya vitabu kadhaa tangu 1998.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2021-05-29. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paschal Eze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.