Parfait Mandanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Parfait Mandanda (alizaliwa 10 Oktoba 1989) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kwa sasa anacheza kama kipa katika klabu iliyopo nchini Ubelgiji iitwayo Charleroi.  

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Parfait Mandanda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.