Bui-bahari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Pantopoda)
Bui-bahari

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropodi (Wanyama bila uti wa mgongo wenye mwili wa vipingili na miguu yenye viungo)
Nusufaila: Chelicerata (Arthropodi wenye mwili wa mapande mawili na maungo mawili mbele ya domo)
Ngeli: Pycnogonida
Oda: Pantopoda (Wanyama kama bui-bahari)
Familia: Ammotheidae

Austrodecidae
Callipallenidae
Colossendeidae
Endeididae
Nymphonidae
Pallenopsidae
Phoxichilidiidae
Pycnogonidae
Rhynchothoracidae

Bui-bahari ni cheliserata wa oda ya Pantopoda, oda pekee ya ngeli ya Pycnogonida, ambao wanaotokea baharini.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bui-bahari kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu "Bui-bahari" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili sea spider kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni bui-bahari.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.