Paji la uso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paji la uso.

Paji (au panda au komo; kwa Kiingereza "Forehead") la uso ni sehemu ya juu na ya mbele ya uso, kati ya nywele na macho.

External links[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paji la uso kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.