Paektu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Paektu

Paektu ni mlima wa volikano wenye kimo cha m 2,744juu ya usawa wa bahari.

Uko kati ya China na Korea Kaskazini; ndio mrefu kuliko yote ya rasi ya Korea.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Paektu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.