Paa (maana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Paa ni neno la kiswahili na linaweza kumaanisha:

  • Paa (Sehemu ya juu ya nyumba) ni eneo la juu la nyumba ambalo linatumika kuziba eneo la ndani lisionekane kutoka juu na pia kuzuia jua na mvua visiingie ndani.
  • Paa (Mnyama) ni aina ya mnyama pori anayefanana na swala na ana pembe ndefu.
Disambig.svg
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.