Ovidia Yu
Mandhari
Ovidia Yu (alizaliwa mwaka 1961) ni mwandishi kutoka Singapore ambaye ameandika tamthilia na hadithi fupi zilizoshinda tuzo. Amejishindia tuzo kadhaa, ikiwa ni pamoja na Tuzo ya Utamaduni ya Shirika la Biashara la Japan na Msingi wa Viwanda Singapore (1996), Tuzo la Msanii Chipukizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (NAC) (1996), na Tuzo la Vijana la Singapore (1997).[1] Ameandika zaidi ya tamthilia thelathini ambazo zimetayarishwa, na anachukuliwa kama mmoja wa waandishi maarufu zaidi nchini Singapore, kulingana na HarperCollins Publishers.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ovidia Yu." Singapore Infopaedia. National Library Board Singapore, 1 January 2004. Web. 30 September 2014.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ovidia Yu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |