Oussama El Azzouzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Oussama El Azzouzi
Maelezo binafsi

Oussama El Azzouzi (alizaliwa 29 Mei 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya Royale Union Saint-Gilloise katika Ligi Kuu ya Kwanza ya Ubelgiji. Alizaliwa Uholanzi, anacheza katiika Timu ya Taifa ya Soka ya Moroko chini ya miaka 23.

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

El Azzouzi ana asili ya Moroko.[1] Aliitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Soka ya Moroko chini ya miaka 23 mwezi Machi 2023.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Union vindt defensieve versterking met Oussama El Azzouzi". www.bruzz.be. 
  2. "منتخب أقل من 23 سنة يدخل تجمع اعدادي للمنافسة بالدوري الدولي بالرباط — يسبريس 7". 21 March 2023. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-31. Iliwekwa mnamo 2023-06-13.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oussama El Azzouzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.