Nenda kwa yaliyomo

Ourida Chouaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ourida Chouaki (alizaliwa 1953 au 1954 - alifariki 12 Agosti 2015) alikuwa mwanaharakati wa haki za wanawake kutokea Algeria.Ourida ni Mwanzilishi wa chama kinachopigania mageuzi ya Kanuni ya Familia ya Algeria ukiratibu takribani miaka 20, barakat! ambayo ilifanikiwa kuchukua nafasi ya sheria mnamo 2004.

Ourida alikuwa dada wa mwanaharakati wa elimu na mwanachama wa Harakati za Kidemokrasia za Kijamii Salah Chouaki ambaye aliuawa na wanamgambo kutoka Kundi la Kiislamu lenye silaha la Algeria mnamo miaka ya 1990.[1][2]

  1. Bennoune, Karima (2013). Your Fatwa Does Not Apply Here: Untold Stories from the Fight Against Muslim Fundamentalism (kwa Kiingereza). W. W. Norton & Company. ISBN 9780393240658.
  2. "Algérie: le décès d'Ourida Chouaki, une grande perte pour le mouvement féminin national", Médiaterranée, 16 August 2015. Retrieved on 4 November 2017. (fr)