Nenda kwa yaliyomo

Oumou Sall Seck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oumou Sall Seck alizaliwa tarehe 19 Agosti mnamo mwaka 1968, ni mwanasiasa na balozi kutoka nchini Mali. Kabla ya kuwa meya, alifanya kazi kama mfanyabiashara wa vipodozi. Alisomea Ushirikiano na Maendeleo, na Sheria ya Haki za Binadamu. Alimuunga mkono Amadou Toumani Touré katika uchaguzi wa urais wa Mali uliofanyika mnamo mwaka 2002[1].

  1. Jeune Afrique, Jeune Afrique. "Oumou Sall Seck". jeuneafrique.com. Jeune Afrique. Iliwekwa mnamo 9 Aprili 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oumou Sall Seck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.