Osimosisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Osimosisi (kutoka neno la Kiingereza lenye asili ya Kigiriki Osmosis) ni mchakato katika mimea na wanyama ambapo kimiminika hupita taratibu kutoka upande mmoja wa mwili au wa mmea kwenda upande mwigine kupitia seli za mnyama au mmea huo.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Osimosisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.