Ortler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Ortler katika majira ya joto.

Ortler (kwa Kiitalia Ortles) ni mlima wa Alpi katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Urefu wake ni mita 3,902 juu ya usawa wa bahari, hivyo unazidi milima yote ya mkoa wa Trentino-Alto Adige.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]