Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya programu za simu za Wikipedia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Idadi kubwa ya mashirika ndani ya Wikimedia Movement ikiwemo Wikimedia Foundation imechapisha programu tumizi rasmi ya kutumia kwenye mifumo ya simu kwa ajili ya Wikipedia. Ambazo zote zinapatikana bure kupitia maduka ya programu sahihi (kama App store, Google Play, Microsoft, F-droid). Pia waweza pakua yenyewe kutoka kwenye tovuti ya Wikimedia Foundation, ambayo huweka matoleo ya zamani na beta.[1]

Wasanifu wa kujitegemea pia wameachilia programu tumizi zisizo rasmi kwaajili ya kusoma makala za Wikipedia. Baadhi ya programu huvuta maudhui kutoka tovuti ya Wikipedia na kisa kuchakata, programu zingine hutumia MediaWiki API. Nyingine huonyesha maudhui ya Wikipedia, nahutoan baadhi ya vipengele kama vile jamii na kurasa za majadiliano, Nyingine huruhusu kuhariri makala.

  1. "Index of /mobile". releases.wikimedia.org. Iliwekwa mnamo 2022-09-29.