Orodha ya mito ya wilaya ya Apac
Mandhari
Orodha ya mito ya wilaya ya Apac inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya mito ya eneo hilo la Uganda kaskazini kabla ya kumegwa ili kuunda wilaya mpya ya Kwania.
- Mto Akokoro
- Mto Alango
- Mto Aminopi
- Mto Amumula
- Mto Arocha
- Mto Icum
- Mto Koli
- Mto Malakwanga
- Mto Rayito
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya mito ya wilaya ya Apac kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |