Orodha ya mito ya Unguja
Mandhari
Orodha ya mito ya Unguja inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya mito ya kisiwa hicho cha Zanzibar (Tanzania visiwani).
- Mto Alimsudi
- Mto Chumbuni
- Mto Kipange
- Mto Kitope
- Mto Maji Mekundu
- Mto Mawe
- Mto Mchanga
- Mto Mjura
- Mto Mkiwa
- Mto Mpepo
- Mto Mwanakombo
- Mto Pangeni
- Mto Upepo
- Mto wa Maji
- Mto Zingwe Zingwe
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya mito ya Unguja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |