Orodha ya milima ya Karpati
Mandhari
Hii Orodha ya milima ya Karpati inataja baadhi yake tu.
- Gerlachovský štít (m 2,655) - kilele cha juu kabisa katika milima ya Tatra Slovakia
- Vârful Moldoveanu (m 2,544) - kilele cha juu kabisa katika Milima Făgăraş Kusini mwa Karpati, Romania
- Hoverla (m 2,061) - kilele cha juu Chornohora, katika Karpati ya Mashariki, Ukraine
- Kékes (m 1,014) - kilele cha juu Mátra, Hungaria
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya milima ya Karpati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |