Orodha ya lugha za Tajikistan
Mandhari
Orodha hii inaorodhesha lugha za Tajikistan:
- Kiarabu Simulizi ya Kitajiki
- Kifarsi
- Kiishkashimi
- Kikirgizi
- Kiparya
- Kipashto ya Kusini
- Kirusi
- Kishughni
- Kitajiki
- Kiuzbek ya Kaskazini
- Kiwakhi
- Kiyagnobi
- Kiyazgulyam