Orodha ya Makaizari wa Ujerumani
Mandhari
Orodha hii inataja wafalme wakuu (au Kaizari) wote wa Dola Takatifu la Kiroma la Taifa la Kijerumani kuanzia Karoli Mkuu.
Nasaba ya Karoli
[hariri | hariri chanzo]- Karoli Mkuu, 800-814
- Louis I, 814-840
- Lothar I, 843-855
- Louis II, 855-875
- Karoli II, 875-877
- Karoli III, 881-887
Mlango wa Guideschi
[hariri | hariri chanzo]- Guy III wa Spoleto, 891-894
- Lambert II wa Spoleto, 894-898
Nasaba ya Karoli
[hariri | hariri chanzo]- Arnulf wa Carinthia, 896-899
- Louis III, 901-905
- Berengar wa Friuli, 915-924
Nasaba ya Otto
[hariri | hariri chanzo]- Otto I, 962-973
- Otto II, 973-983
- Otto III, 996-1002
- Henriki II, 1014-1024 (huhesabiwa wa pili ingawa Henriki I wa Ujerumani hakuwa mfalme mkuu)
Nasaba ya Wasalia (Wafranki)
[hariri | hariri chanzo]- Konrad II, 1027-1039 (huhesabiwa wa pili ingawa Konrad I wa Ujerumani hakuwa mfalme mkuu)
- Henriki III, 1046-1056
- Henriki IV, 1084-1105
- Henriki V, 1111-1125
Nasaba ya Supplinburg
[hariri | hariri chanzo]- Lothar III, 1133-1137 (huhesabiwa wa tatu Lothar II alikuwa tu mfalme wa Lotharingia 855-869, na sio mfalme mkuu)
Nasaba ya Staufen
[hariri | hariri chanzo]- Frederick I Barbarossa, 1155-1190
- Henriki VI, 1191-1197
Mlango wa Welf
[hariri | hariri chanzo]- Otto IV wa Brunswick, 1209-1215 (amefariki 1218)
Nasaba ya Staufen
[hariri | hariri chanzo]- Frederick II, 1220-1250
Mlango wa Luxembourg
[hariri | hariri chanzo]- Henry VII, 1312-1313
Mlango wa Wittelsbach
[hariri | hariri chanzo]- Louis IV wa Bavaria, 1328-1347
Mlango wa Luxembourg
[hariri | hariri chanzo]Nasaba ya Habsburg
[hariri | hariri chanzo]- Frederick III, 1452-1493
- Maximilian I, 1508-1519 (Kaizari-Mteule)
- Karoli V, 1530-1556 (hakujiuzulu hadi 1558) (Kaizari-Mteule 1519-1530)
- Ferdinand I, 1556-1564 (Kaizari-Mteule)
- Maximilian II, 1564-1576 (Kaizari-Mteule)
- Rudolf II, 1576-1612 (Kaizari-Mteule; huhesabiwa wa pili ingawa Rudolf I wa Ujerumani alikuwa mfalme tu 1273-1291 na siyo mfalme mkuu)
- Matthias, 1612-1619 (Kaizari-Mteule)
- Ferdinand II, 1619-1637 (Kaizari-Mteule)
- Ferdinand III, 1637-1657 (Kaizari-Mteule)
- Leopold I, 1658-1705 (Kaizari-Mteule)
- Joseph I, 1705-1711 (Kaizari-Mteule)
- Karoli VI, 1711-1740 (Kaizari-Mteule)
Mlango wa Wittelsbach
[hariri | hariri chanzo]- Karoli VII Albert, 1742-1745 (Kaizari-Mteule)
Nasaba ya Habsburg-Lorraine
[hariri | hariri chanzo]- Francis I, 1745-1765 (Kaizari-Mteule)
- Joseph II, 1765-1790 (Kaizari-Mteule)
- Leopold II, 1790-1792 (Kaizari-Mteule)
- Francis II, 1792-1806 (Kaizari-Mteule)