Nenda kwa yaliyomo

Kaizari Leopold II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Leopold II)
Kaizari Leopold II

Leopold II (5 Mei 17471 Machi 1792) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1790 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Joseph II, na kufuatiwa na Francis II.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Leopold II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.