Kaizari Francis II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Francis II)
Kaizari Francis II

Francis II (12 Februari 17682 Machi 1835) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1792 hadi kujiuzulu mwaka wa 1806. Alimfuata baba yake, Leopold II. Alipojiuzulu, Dola Takatifu la Kiroma la Taifa la Ujerumani lilivunjika hadi mwaka wa 1871.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Francis II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.