Nenda kwa yaliyomo

Orlando Guerrero Torres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orlando Guerrero Torres ni askofu wa tatu wa sasa wa Dayosisi ya Kiepiskopali ya Venezuela. Alitawazwa kuwa askofu mwaka 1995, akichukua nafasi ya Onell Soto.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.