Nenda kwa yaliyomo

Ophelia Inez Weeks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ophelia Inez Weeks ni msomi wa Liberia. Aliongoza chuo kikuu cha Liberia kutoka 2017 hadi 2018. Wakati huo alikuwa mkurugenzi mtendaji wa Liberia na katibu wa bodi ya kituo cha rais Ellen Johnson Sirleaf cha wanawake na maendeleo.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Reporter, FPA Staff (2017-09-15). "Pres. Sirleaf Inducts Dr. Ophelia Weeks As 14th President of University of Liberia". FrontPageAfrica (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-03-19.
  2. Davies, Carole Boyce (Novemba 2022). Black Women's Rights: Leadership and the Circularities of Power (kwa Kiingereza). Rowman & Littlefield. ISBN 978-1-7936-1239-7.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ophelia Inez Weeks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.