Nenda kwa yaliyomo

Ontolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ontolojia


Ontolojia (kutoka maneno ya Kigiriki "on", kilichopo, na "logia", elimu) ni somo la kifalsafa la asili ya kuwepo, na pia kategoria za msingi za kuwepo na uhusiano wao. Ni tawi kubwa la metafizika.

Ontolojia inachunguza maswali kuhusu: ni vitu gani vipo kwa uwepo ama vile vinavyodhaniwa kuwa na jinsi vitu hivyo vinavyoweza kujumuishwa kwa vikundi, kuhusishwa na kuorodheshwa kwa ngazi ya uzao na kugawanyishwa kulingana na usawa na tofauti zao.

Maana rahisi sana ya ontolojia ni: uchunguzi wa neno ‘kitu’.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ontolojia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.