Omawumi
obox Person |jina = Omawumi magbele |picha = Labo Daniel and Omawunmi.png|Labo_Daniel_and_Omawunmi]] |maelezo_ya_picha = |tarehe_ya_kuzaliwa = 13 Aprili 1982 |mahala_pa_kuzaliwa = [Nigeria ] |tarehe_ya_kufariki = |mahala_alipofia = |majina_mengine = |anafahamika kwa = omawumi |kazi_yake = mwimbaji na mtunzi |nchi = [Nigeria ] Omawumi Megbele (anajulikana kwa jina lake la kisanii kama Omawumi tu; alizaliwa 13 Aprili 1982) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria na mwigizaji wa kabila la Itsekiri [1] Yeye ni balozi wa chapa ya Globacom, [2] Konga.com, na Malta Guinness. Yeye pia ni sehemu ya kampeni inayoitwa "Inuka na Nishati ya Afrika(Rise with the Energy of Africa)". [3] Alitangazwa kama mshindi wa pili 2007 kwenye tuzo za Idols za Afrika Magharibi, kipindi cha televisheni cha uhalisia sehemu ya franchise ya Idols . [4] Albamu yake ya pili, The Lasso of Truth, iliripotiwa kuwa na mafanikio ya kibiashara nchini Nigeria. [5]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Omawumi alizaliwa tarehe 13 Aprili 1982 na Chifu Dk. Frank na Bi. Aya Megbele.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "I never knew I would become a musician – Omawumi". 28 Desemba 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-01-04. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2014.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Glo Picks Omawumi, Others As New Ambassadors". 10 Mei 2013. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2013.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "my first job was the team song I did for Malta Guinness with Cohbams Asuquo". 29 Oktoba 2011. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2011.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Omawumi Megbele: Red, hot and rising". 22 Juni 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2014.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Music: Best of entertainment in 2013". 27 Desemba 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-24. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2014.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Omawumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |