Olivia Clark

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Olivia Clark (alizaliwa 30 Agosti 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Wales ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Bristol City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake na timu ya taifa ya Wales.[2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olivia Clark kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.