Nenda kwa yaliyomo

Olive Morris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Olive Elaine Morris (26 Juni 195212 Julai 1979) alikuwa kiongozi wa jamii na mwanaharakati mzaliwa wa Jamaika aliyeishi Uingereza, akijihusisha na harakati za haki za wanawake, uraia wa watu weusi, na haki za wavamizi wa ardhi katika miaka ya 1970. [1]


Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Olive Morris alizaliwa tarehe 26 Juni 1952 mjini Harewood, St Catherine, Jamaica.[2][3] Wazazi wake walikuwa Vincent Nathaniel Morris na Doris Lowena (née Moseley), na alikuwa na ndugu watano. Wazazi wake walipoamua kuhamia Uingereza, Morris aliishi kwa muda na bibi yake kabla ya kufuata familia yake katika London Kusini akiwa na umri wa miaka tisa. Baba yake alifanya kazi kama dereva wa forklift, na mama yake alifanya kazi viwandani.[2]

Morris alisoma katika Heathbrook Primary School, Lavender Hill Girls' Secondary School, na Shule ya Dick Sheppard huko Tulse Hill, lakini aliacha masomo bila kupata vyeti.[2][maelezo 1]

Baadaye alisomea mitihani ya O-Level na A-Level, na pia alihudhuria darasa katika London College of Printing (kwa sasa inajulikana kama London College of Communication).[2][8]:151

  1. Tsang, Amie (30 Oktoba 2019). "Overlooked No More: How Olive Morris Fought for Black Women's Rights in Britain". The New York Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Juni 2020. Iliwekwa mnamo 26 Juni 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 1 2 3 4 5 Allotey, Emma (24 Mei 2012). "Morris, Olive Elaine (1952–1979)". Oxford Dictionary of National Biography (kwa Kiingereza) (tol. la online). Oxford University Press. doi:10.1093/ref:odnb/100963. ISBN 978-0-19-861412-8. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Agosti 2019. Iliwekwa mnamo 26 Juni 2020. Subscription or UK public library membership required.
  3. Tsang, Amie (30 Oktoba 2019). "Overlooked No More: How Olive Morris Fought for Black Women's Rights in Britain". The New York Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Juni 2020. Iliwekwa mnamo 26 Juni 2020.
  4. "Heathbrook Primary School And Children's Centre". Lambeth Council (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Machi 2022. Iliwekwa mnamo 1 Machi 2022.
  5. Reid, Sue (5 Aprili 1979). "School Axe Agreed". Evening Standard. uk. 11. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Februari 2022. Iliwekwa mnamo 1 Machi 2022.
  6. "Dick Sheppard School, Tulse Hill". National Archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Machi 2022. Iliwekwa mnamo 1 Machi 2022.
  7. Murphy, Kevin (18 Oktoba 1974). "NF Teacher "Sick" – Misses Demo". Evening Standard. uk. 10. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Machi 2022. Iliwekwa mnamo 1 Machi 2022.
  8. Bryan, Beverley; Dadzie, Stella; Scafe, Suzanne (2018). The Heart of the Race: Black Women's Lives in Britain. London: Verso. ISBN 978-1786635860. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Februari 2022. Iliwekwa mnamo 28 Februari 2022.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olive Morris kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Kuna tofauti ya taarifa za vyanzo kuhusu shule alizosoma: Oxford Dictionary of National Biography inasema Morris alihudhuria Heathbrook Primary, Lavender Hill Girls' Secondary na Tulse Hill Secondary School.[2] Hata hivyo, BBC News inaripoti kuwa alisoma Lavender Hill Primary School na Shule ya Dick Sheppard. Ni kweli kwamba Heathbrook Primary School ipo,[4] wakati Lavender Hill Girls' School ilifungwa mwaka 1979;[5] na Dick Sheppard School (shule ya wasichana pekee) ilifungwa mwaka 1994.[6] Shule ya Tulse Hill School yenyewe ilikuwa ya wavulana pekee.[7]
Hitilafu ya kutaja: <ref> tags exist for a group named "maelezo", but no corresponding <references group="maelezo"/> tag was found