Nenda kwa yaliyomo

Olisa Agbakoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Olisa Agbakoba ni mwanaharakati wa haki za binadamu wa Nigeria, wakili wa baharini na rais wa zamani wa chama cha wanasheria wa Nigeria. [1][2]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Olisa Agbakoba alizaliwa tarehe 29 Mei 1953 na jaji mkuu Godfrey Ubaka na bibi Phina Agbakoba huko Jos.

  1. "Osinbajo is my hero ― Olisa Agbakoba". Vanguard News (kwa American English). 25 Januari 2022. Iliwekwa mnamo 1 Machi 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Dr Olisa Agbakoba SAN – Olisa Agbakoba Legal". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-20. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olisa Agbakoba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.